Isdory Tarimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Isdory Tarimo
UtaifaMtanzania
Majina mengineIsdory Lucas Tarimo
Kazi yakeMwanasiasa na Mwanamazingira
CheoMwanzilishi-mwenza wa Tecoso Tanzania
Chama cha siasaChama Cha Mapinduzi
MwenzaIrene Tarimo (m. 1992–present) «start: (1992)»"Marriage: Irene Tarimo to Isdory Tarimo" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Isdory_Tarimo)
Watoto7
Tovuti
Tecoso wavuti

Isdory Lucas Tarimo (amezaliwa 15 Novemba 1954) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi CCM. Alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Nanjara-Reha, Wilaya ya Rombo kwa mwaka 2000 hadi 2010.[1] [2] [3] [4] [5] Pia ni mwanaharakati wa mazingira akisimamia Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulika na mazingira, Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Tanzania (Tecoso Tanzania).[6] [7]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isdory Tarimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.