Nenda kwa yaliyomo

Isarno wa Marseille

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sura yake kaburini.

Isarno wa Marseille (alifariki Marseille, Provence, leo nchini Ufaransa, 24 Septemba 1043) aliteuliwa kuwa abati wa monasteri Mt. Vikta huko Marseille mwaka 1020 akajitahidi kuirudisha kwenye nidhamu ya Kibenedikto, akiwa mkali kwake mwenyewe lakini mpole kwa wengine [1].[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martin Aurell, Jean-Paul Boyer, Noël Coulet, La Provence au moyen âge, publications de l’Université de Provence, Aix-en-Provence, 2005, p. 41 ISBN 2-85399-617-4
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/71840
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Marcel Germain, Marignane, histoires en brèves
  • Jacques Bousquet, La tombe de l'abbé Isarn de Saint-Victor, dans Provence historique, 1996, fascicule 183, pp. 97-130, [1]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.