Histolojia
Jump to navigation
Jump to search
Histolojia (kutoka maneno ya Kigiriki ἱστός, histos, "tishu", na -λογία, "elimu"; kwa Kiingereza "histology") ni utafiti wa seli na tishu ya mimea na wanyama, hasa tishu. Ni sehemu ya saitolojia, na chombo muhimu cha biolojia na elimu ya dawa.
Histolojia kwa kawaida hufanyika kwa kuangalia seli na tishu kwa darubini ya mwanga au darubini ya elektroni.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- HistoNet 2000 - Online Interactive Atlas
- Histoweb
- SIU SOM Histology
- Dr. Kasemἱστός|ἱστός] histos}}, "tissue", and -λογία, "study".}} is Histology Homepage]
- Visual Histology Atlas Archived Machi 11, 2019 at the Wayback Machine.
- Histology Photomicrographs
- Histology-online
- Virtual Slidebox
- Blue Histology
- Medical Histology Lecture Series by Dr. Krause, Department of Pathology and Anatomical Science, University of Missouri School of Medicine
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Histolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|