Nenda kwa yaliyomo

Gustani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Gustani, O.S.B. (pia: Gulstan, Goustan[1][2]; Britania, karne ya 10 - Beauvoir-sur-Mer, Bretagne, leo Ufaransa, 27 Novemba 1040[3]) alikuwa mtumwa, halafu mmonaki mfuasi wa mkaapweke Felisi wa Rhuys.

Monasterini alikuwa akisali kwa moyo Zaburi, alizozikariri zote ingawa hakujua kusoma na kuandika. Pia alihudumia mabaharia[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Saint Gulstan ou Saint Goustan sur le site Nominis, consulté le 30 juin 2010.
  2. Google Books - Page 53 Malo-Joseph de Garaby - Vie des bienheureux et des saints de Bretagne, pour tous les jours de l'année - 1839
  3. Goustan (saint) Ilihifadhiwa 21 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine., sur le site de l’Institut Culturel de Bretagne / Skol-Uhel ar Vro, consulté le 30 juin 2010.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/44450
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.