Nenda kwa yaliyomo

Guarino wa Sion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Medali yake inayotolewa kwa waumini.

Guarino wa Sion (pia: Warin, Guérin, Guarinus; Pont-à-Mousson, leo nchini Ufaransa, 1065 hivi - Aulps, Savoie, 27 Agosti 1150) alikuwa mmonaki wa Molesmes, halafu abati wa monasteri aliyoiunganisha na urekebisho wa Citeaux, na hatimaye askofu wa mji huo, leo nchini Uswisi kuanzia mwaka 1138 hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.