Gotham City (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Gotham City”
“Gotham City” cover
Single ya R. Kelly
kutoka katika albamu ya Kibwagizo cha Batman & Robin
Imetolewa Juni 8, 1997 (1997-06-08)
Muundo CD single, cassette single
Imerekodiwa 1996
Aina R&B/Pop/Soul/Injili
Urefu 5:20 (toleo la albamu na single)
4:40 (haririo la redio)
Mtunzi R. Kelly
Mtayarishaji R. Kelly
Certification Gold (RIAA)[1]
Mwenendo wa single za R. Kelly
"I Believe I Can Fly"
(1996)
"Gotham City"
(1997)
"Half on a Baby"
(1998)

"Gotham City" ni wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo unatokana na jiji la hadithi ya mfululizo wa Batman la Gotham City, ambapo ndipo mahali pa makazi makuu ya Batman. Kibao hiki kiliwekwa kwenye orodha ya vibwagizo vya filamu ya Batman & Robin, na kushika nafasi ya tisa sehemu zote mbili, yaani, kwenye chati za U.S. za Billboard Hot 100 na Hot R&B/Hip-Hop Songs.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1997) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 9
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 9
UK Singles Chart 9
Dutch Singles Chart 9
Canadian Singles Chart 37
German Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 9

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gotham City (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.