Nenda kwa yaliyomo

Giuseppe Di Donna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Giuseppe Di Donna

Giuseppe Di Donna (anayejulikana kitawa kama Giuseppe della Vergine, 23 Agosti 19012 Januari 1952) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na mwanachama wa Shirika la Utatu (Trinitarian Order).

Baada ya kufanya umisionari Madagaska, alihudumu kama Askofu wa Andria kuanzia mwaka 1940 hadi kifo chake.[1][2]

  1. "Venerabile Giuseppe Di Donna". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 25 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "CENNI BIOGRAFICI" (PDF). Iliwekwa mnamo 25 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.