Andria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Andria ni mji wa mkoa wa Puglia, Italia Kusini.

Mji una wakazi 100,518 na hivyo ni wa 46 nchini Italia.

Italy looking like the flag.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Andria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.