Nenda kwa yaliyomo

Gastro-enterolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

Gastro-enterolojia (kutoka Kigiriki kupitia Kiingereza gastro-enterology) ni tawi la elimu ya tiba linalohusu magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Inaangalia ogani za mwili kuanzia mdomo hadi mkundu.

Magonjwa yanayoangaliwa mara kwa mara ni kwa mfano

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gastro-enterolojia kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.