Kindi-miraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Funisciurus)
Jump to navigation Jump to search
Kindi-miraba
Mchoro wa kindi-miraba wa Gray (Funisciurus isabella)
Mchoro wa kindi-miraba wa Gray (Funisciurus isabella)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia (Wagugunaji)
Nusuoda: Sciuromorpha (Wanyama kama kindi)
Familia: Sciuridae (Wanyama walio na mnasaba na kindi)
Muirhead, 1819
Nusufamilia: Xerinae (Wanyama wanaofanana na kindi)
Osborn, 1910
Kabila: Protoxerini (Wanyama wanaofanana sana na kindi)
Jenasi: Funisciurus
Trouessart, 1880
Spishi: F. anerythrus (Thomas, 1890)

F. bayonii (Bocage, 1890)
F. carruthersi Thomas, 1906
F. congicus (Kuhl, 1820)
F. isabella (Gray, 1862)
F. lemniscatus (Le Conte, 1857)
F. leucogenys (Waterhouse, 1842)
F. pyrropus (F. Cuvier, 1833)
F. substriatus De Winton, 1899

Kindi-miraba ni wanyama wadogo wa jenasi Funisciurus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae. Kama kindi wote spishi hizi hupitisha muda mitini hasa lakini huteremka ardhini mara kwa mara. Wanatokea misitu ya Afrika ya Kati mpaka Senegali ya Kusi magharibini na mpaka Namibia ya Kaskazi kusini. Hula mbegu, makokwa, matunda, matumba, machipukizi na wadudu.

Spishi[hariri | hariri chanzo]