Nenda kwa yaliyomo

Finbari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Finbari (karne ya 19), kanisa kuu la Cork.

Finbari (kwa Kieire: Fionnbharra; pia: Finbar, Finbarr, Finnbar, Finnbarr, Barra; Templemartin, 550 hivi – Cloyne, 25 Septemba 623) alikuwa mmonaki wa Ireland.

Alianzisha monasteri kusini mwa kisiwa hicho, ambayo ikawa kiini cha mji wa Cork, yeye akiwa askofu wake wa kwanza [1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. MacErlean, Andrew. "St. Finbar." The Catholic Encyclopedia. Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 19 Jul. 2013
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/71980
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.