Etihad (uwanja wa mpira)
Mandhari
Etihad ni kiwanja cha mpira cha nyumbani cha Manchester City.
Kina uwezo wa kuchukua watu takribani 55,097, ni cha nne wa klabu kwa ukubwa na wa nane kwa ukubwa nchini Uingereza.
Ulijengwa kuwa uwanja wa michezo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) mwaka 2002, uwanja huo ulitumika katika Kombe la UEFA la 2008, ligi ya Rugby, matamasha ya muziki ya majira ya joto wakati wa msimu wa soka.
Uwanja huo awali ulipendekeza kama uwanja wa michezo ya Olimpiki , ikabadilishwa baada ya Michezo ya Jumuiya ya 2002 kutoka uwanja wenye uwezo 38,000 hadi uwanja wa mpira wa miguu wenye uwezo wa 48,000 .Kwa gharama ya halmashauri ya jiji la Manchester ilitumia £ Milioni 42.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Etihad (uwanja wa mpira) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |