Nenda kwa yaliyomo

Etefleda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Etefleda (962 hivi – karne ya 11) alikuwa bikira wa Uingereza aliyejiunga mapema na monasteri ya Romsey iliyoanzishwa na baba yake, Etelwoldi [1], akawa abesi wake na kuiongoza vizuri sana hadi uzeeni[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Pauline Stafford (1997). "Emma: The Powers of the Queen in the Eleventh Century". Katika Anne J. Duggan (mhr.). Queens and Queenship in Medieval Europe. The Boydell Press. ISBN 0851156576.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/74885
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.