Nenda kwa yaliyomo

Darfur Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Darfur Mashariki ni mojawapo kati ya majimbo 18 ya Sudan, na moja ya matano yanayojumuisha kanda ya Darfur ambapo mgogoro wa Darfur unaendelea. Idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,587,200 (2018).

Ed Daein ndio mji mkuu wa jimbo hili.

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Darfur Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.