Clatous Chama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Clatous Chama (wakati mwingine huripotiwa kama Cletus Chama; alizaliwa 18 Juni 1991) ni mchezaji wa soka wa Zambia.

Chama aliisaidia ZESCO United F.C. kufika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa ya CAF kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na Al Ittihad ya Misri.

Hata hivyo, mwezi wa Februari 2017 Chama aliichezea Lusaka Dynamos F.C. kabla ya kujiunga na klabu ya Simba S.C. iliyopo nchini Tanzania mwaka 2018 kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Mwaka 2019 Chama aliongeza mkataba wa miaka 2 na mkataba wake utaisha 2022. Chama ameisaidia Simba kutwaa ligi kuu, ngao ya jamia na kuifikisha timu robo fainali kwenye Caf champions league na sasa ni vinara wa Vpl.