Bonde la Usongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Bonde la Usongwe
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Vijijini
Idadi ya wakazi
 - 18,487

Bonde la Songwe ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,487 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53209. Kata hili liko kwenye bonde la mto Songwe ya Kaskazini unapokutana nana barabara ya TANZAM. Kuna kiwanda kikubwa cha saruji.

Kiwanja cha ndege kipya cha Mbeya kimejengwa hapa kwenye eneo la Bonde la Usongwe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mbeya VijijiniMkoa wa Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bonde la Usongwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo (Mbeya vijijini) | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjiro | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule Usongwe


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bonde la Usongwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.