Bernardo Silva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bernardo Silva akiwa katika timu yake ya taifa.

Bernardo Mota Silva (alizaliwa Lisbon, Ureno, 10 Agosti 1994) ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza, Manchester City na timu ya taifa ya Ureno.

Silva alianza kucheza katika chuo cha vijana wa Benfica mwaka 2013, alianza kucheza sabu ya klabu na alipandishwa katika timu ya kwanza msimu uliofuata.

Alienda Monaco kwa mkopo katika msimu wa 2014-15. Baada ya kushinda michuano ya ligi pamoja nao mwaka 2017, Silva aliuzwa katika klabu ya Uingereza Manchester City kwa ada ya £ milioni 43.5. Baadaye alishinda Ligi Kuu ya Uingereza na FA Cup katika msimu wake wa kwanza nchini Uingereza.

Alichaguliwa katika kikosi cha Ureno kwenye Kombe la Confederations la 2017 na Kombe la Dunia la 2018.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernardo Silva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.