Benjamin Stambouli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Benjamin Stambouli

Benjamin Stambouli (amezaliwa 13 Agosti 1990) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kiungo na mlinzi katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani katika ligi ya Bundesliga.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Stambouli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.