Ligue 1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligue 1 pia huitwa Ligue 1 Conforama kwa sababu za udhamini na Conforama, ni ligi ya soka la Ufaransa kwa klabu za soka za wanaume.

Ligue 1 ina vilabu 20 na inafanya kazi ya kukuza mfumo wa vijana wa Ufaransa unaoitwa Ligue 2.

Ligue 1 ni moja kati ya ligi za juu za kimataifa, kwa sasa ni nafasi ya tano katika bara la Ulaya nyuma ya La Liga ya Hispania, Ligi Kuu ya Uingereza EPL, Serie A ya Italia na Bundesliga ya Ujerumani.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligue 1 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.