Nenda kwa yaliyomo

Atenodoro wa Syria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atenodoro wa Syria (alifariki huko Syria, 303 hivi) alikuwa askofu ambaye aliuawa kikatili sana kwa imani ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Inasimuliwa kwamba, baada ya kuteswa kwa moto na kwa namna nyingine chini ya gavana Eleusi, hatimaye alihukumiwa auawe, lakini mtesi wake alidondoka chini hivi kwamba hakukuwa na mtu tayari kumpiga kwa upanga, kumbe yeye akafa akiwa anasali[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Desemba [2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/80730
  2. Martyrologium Romanum
  3. Great Synaxaristes: (in Greek) Ὁ Ἅγιος Ἀθηνόδωρος ὁ Μάρτυρας. 7 Δεκεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.