Alex Sandro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alex Sandro

Alex Sandro (alizaliwa tarehe 26 Januari mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Italia ya Juventus na timu ya taifa ya Brazil.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alex Sandro alianza kazi yake na Atletico Paranaense, na baadaye alicheza Santos kwa mkopo. Mwaka 2011, alijiunga na Porto kwa 9.6 milioni, pamoja na mwenzake Danilo, ambaye a. Alijiunga na Juventus mwaka 2015.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alex Sandro pia anacheza timu ya soka ya taifa la Brazil,pia aliwakilisha timu ya taifa hiyo ya soka ya chini ya miaka 20.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Sandro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.