Pauni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uzani wa sokoni wa pauni 14 (kwa matumizi kwenye mizani)

Pauni, pia paoni[1] ni jina la uzani wa ratili moja au takriban gramu 500. Jina hili limetokana na Kiingereza pound. Wakati wa ukoloni chini ya mfumo wa vipimo rasmi vya Uingereza wakati ule "pound" ilikuwa kipimo rasmi kilicholingana na gramu 454. Kifupi chake kilikuwa £ au lb kutoka Kilatini "libra".

Pauni ilikuwa pia jina la kufupi la pesa ya Kiingereza (rasmi Pound Sterling).

Tangu kuenea kwa vipimo vya SI pauni imetazamiwa kama jina la nusu kilogramu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Paon, paoni kulingana na kamusi ya Sacleux 1939, uk 732


Marejeo[hariri | hariri chanzo]