Juventus F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya Juventus F.C.

Juventus Football Club (kutoka Kilatini: Juventūs, "Ujana"; matamshi ya Kiitalia: [juvɛntus]) ni klabu ya soka iliyopo katika ligi kuu ya Italia huko Torino, Piemonte. Juventus ilianzishwa mnamo mwaka 1897 na kikundi cha wanafunzi wa Torinese. Imeshinda mara 35 ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A. Klabu hii imecheza mechi za nyumbani kwa misingi tofauti karibu na jiji lake, na kitu kikubwa kinachomilikiwa na klabu hii ni uwanja wa Allianz.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juventus F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.