Aleix Vidal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Aleix Vidal akiwa FC Sevilla

Aleix Vidal Parreu (alizaliwa 21 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea katika timu ya Sevilla FC na timu ya taifa ya Hispania. Ni beki wa kulia na anaweza kucheza ipasavyo kama winga wa kulia.

Baada ya kutumikia katika timu yake ya daraja la chini, alikuwa Mchezaji mzuri kuliko wote huko Almería, akiwasaidia katika La Liga, na pia alishinda Europa League dhidi ya Sevilla FC kabla ya kusaini na Barcelona mwaka 2015 kwa milioni 17.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleix Vidal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.