Alberiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bikira Maria akimpa Alberiko kanzu ya Wasitoo.

Alberiko wa Cîteaux, O.Cist. (pia Aubrey; alifariki Citeaux, 26 Januari 1109) alikuwa mkaapweke, mmonaki, halafu (1100) abati nchini Ufaransa.

Ni kati ya waanzilishi wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Ndiye aliyepata kutoka kwa Papa Paskali II hati Desiderium quod iliyoupatia urekebisho huo uhalali wake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Januari pamoja na wenzake Roberto wa Molesme na Stefano Harding.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Attwater, Donald and John, Catherine Rachel John, 1993:The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.