Akili ya binadamu
Akili ya binadamu (kwa Kiingereza "mind"[3]) ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo hasa wa binadamu, unaomwezesha hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake upande wa maadili na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi kwa kutumia hiari yake[4].
Dhana kuhusu asili ya akili ya binadamu zinatofautiana, vilevile na maelezo mengine mengi, kulingana na dini, falsafa na sayansi[5] husika.
Jambo mojawapo la msingi ni kuelewa kama akili hiyo ya pekee inategemea tu ubongo uliokua sana katika binadamu kuliko katika spishi nyingine au kuna athari kubwa ya roho ndani yake. Hii ni kwa sababu watu walichoweza kufanya hakifanani kabisa na wanyama walichofanya, hata wale walio na ujirani naye kibiolojia kama sokwe.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Oliver Elbs, Neuro-Esthetics: Mapological foundations and applications (Map 2003), (Munich 2005)
- ↑ Descartes, R. (1641) Meditations on First Philosophy, in The Philosophical Writings of René Descartes, trans. by J. Cottingham, R. Stoothoff and D. Murdoch, Cambridge: Cambridge University Press, 1984, vol. 2, pp. 1–62.
- ↑ mind – definition of mind in English | Oxford Dictionaries. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-08-19. Iliwekwa mnamo 2019-02-09.
- ↑ (2010) Brain body mind oscillations in scope of uncertainty principle. New York: Springer, 5. ISBN 978-1441961365.
- ↑ Harnad, S.R., Steklis, H.D., & Lancaster, J.E. (1976). "Origins and evolution of language and speech". Annals of the New York Academy of Sciences 280 (1): 1–2. .
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- APA Task Force Examines the Knowns and Unknowns of Intelligence - American Psychological Association, Press release
- The cognitive-psychology approach vs. psychometric approach to intelligence Archived 7 Mei 2012 at the Wayback Machine. - American Scientist magazine
- History of Influences in the Development of Intelligence Theory and Testing Archived 11 Novemba 2007 at the Wayback Machine. - Developed by Jonathan Plucker at Indiana University
- [1] Intelligence journal homepage
- [2] International Society for Intelligence Research homepage
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akili ya binadamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |