Nenda kwa yaliyomo

Abeba Haile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abeba Haile (alizaliwa 2 Agosti, 1970) ni mwimbaji mashuhuri kutoka Eritrea. Ametoa albamu katika lugha ya Kitigrinya, pia alikuwa katika kundi la ukombozi la watu wa Eritrea ambalo ni shirika la kijeshi lililoikomboa nchi hiyo kutoka katika ukoloni wa Ethiopia. Abeba Haile alijiunga na shirika hilo alipokuwa kijana mdogo, anaweza kucheza ala tofauti za muziki kama vile kirar, piano na gitaa. Abeba alikuwa mwimbaji mzuri sana haswa wakati wa vita na Ethiopia mnamo 1998-2001. [1]

Orodha ya kazi za muziki

[hariri | hariri chanzo]
Albamu
  • Vol. 1 Greatest Hits 1996
  • Vol. 2 Me'quei'rsey 2001
  • Vol. 3 Natey 2004
  • Vol. 4 Afrika 2007
  • Vol. 5 Instrumental 2011
  • Vol. 6 Ezis Men Yirekbo 2017

Nyimbo zisizo za albamu

  • Amanido
  • Ayenay Yhaysh
  • Bahri
  • Eirab
  • Gahdi dyu
  • Hadas ertra
  • alikuwa na libi
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 18, 2010. Iliwekwa mnamo Januari 21, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)