Abdon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdon (kwa Kiebrania עַבְדּוֹן, ‘Aḇdōn, "Mtumishi" au "Utumishi") alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.

Kadiri ya Waamuzi 12:13-15 alikuwa wa kabila la Efraimu akaongoza Israeli kwa miaka 8[1].

Alikuwa na watoto wa kiume 40 na wajukuu wa kiume 30, ambao kila mmoja alikuwa na punda wake. Hii inaonyesha alikuwa tajiri.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "The "Minor Judges"- A Re-evaluation". Alan J. Hauser. 1975. Iliwekwa mnamo 2015-03-27. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdon kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.