Elon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elon (kwa Kiebrania אֵילֹן‎‎, Elon, ʼÊlōn, "Mwaloni") alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.

Kadiri ya Waamuzi 12:11 alikuwa wa kabila la Zebuluni akaongoza Israeli kwa miaka 10[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "The "Minor Judges"- A Re-evaluation". Alan J. Hauser. 1975. Iliwekwa mnamo 2015-03-27. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elon kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.