Nenda kwa yaliyomo

Irene Uwoya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Muddyb (majadiliano | michango)
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Mwigizaji 2 | jina = | picha = | maelezo ya picha = | jina la kuzaliwa = Irene Pancras Uwoya | tarehe ya kuz...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:14, 15 Septemba 2017

Amezaliwa Irene Pancras Uwoya
18 Desemba 1988 (1988-12-18) (umri 35)
Dodoma, Tanzania
Jina lingine Oprah
Kazi yake Mwigizaji
Mwanamitindo
Miaka ya kazi 2007

Irene Pancras Uwoya (amezaliwa 18 Disemba, 1988) ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu, mwanamitindo wa zamani na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania. Alifahamika sana kwa uhusika wa "Oprah" (2008) alioshiriki na Steven Kanumba na Vincent Kigosi. Baadhi ya filamu alizocheza ni pamoja na Uliyemchokoza Kaja, Figo, Rosemary, Snitch, The Return of Omega na Money. Uwoya alianza shule ya msingi Mlimwa kisha baadaye kuhamia Shule ya Bunge iliyopo Dar-es-Salaam kwa ajili ya elimu ya upili, baadaye akaenda Greenville huko jijini Kampala, Uganda.[1][2]

Baadhi ya filamu zake


Tazama pia

Marejeo

  1. Irene Uwoya katika Mybiohub.
  2. Irene Uwoya katika Bongo Cinema.com