Diversion of Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Diversion of Love
Diversion of LoveFilamu.jpg
Posta ya Diversion of Love
Imeongozwa na William Mtitu
Imetayarishwa na 5 Effects Movies
Imetungwa na Nicolaus Mtitu
Nyota Lucy Komba
Yusuph Mlela
Irene Uwoya
Wasiwasi Mwabulambo
Ahmedi Olotu
Denis Ngakongwa
Imehaririwa na John Kalaghe
Imesambazwa na Steps Entertainment
Imetolewa tar. 2006
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

'Diversion of Love ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Lucy Komba, Yusuph Mlela, Irene Uwoya, Wasiwasi Mwabulambo, Ahmedi Olotu na Denis Ngakongwa. Filamu inahusu misukosuko katika ndoa. Jane (Lucy Komba) na James (Mlela) walikula kiapo cha ndoa kutoacha hadi kifo. Lakini baadaye yanatokea matatizo na mambo kwenda ndivyo sivyo.[1] Filamu ni utunzi wake Nicolaus Mtitu, huku dialojia ikiandikwa na Kulwa Kikumba, picha na mhariri ni John Kalaghe, na kutayarishwa na 5 Effects Movies. Imeongozwa na Mtitu Game.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]