Morogoro Vijijini
Wilaya ya Morogoro Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 263,920 [1].
Ni wilaya yenye utajiri mkubwa wa hali ya hewa inayoruhusu mazao yote kustawi: mfano, yale ya joto hustawi maeneo ya bondeni, na ya baridi sehemu za milimani. Ni chanzo cha mito inayonywesha Dar-es-Salaam na Pwani. Lakini asilimia kubwa ya wakulima hulima bila faida: hubeba mizigo kwenda sokoni kwa umbali mrefu zaidi ya kilometa 25.
Ni wilaya ya giza,ukiachia Ngerengere jeshini, kulikobaki hakuna lami wala umeme. Wapo watu ambao hawajaona gari tangu kuzaliwa.
Shule zina upungufu mkubwa wa walimu.
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Morogoro vijijini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bwakila Chini | Bwakila Juu | Kasanga | Kibogwa | Kibungo Juu | Kidugalo | Kinole | Kiroka | Kisaki | Kisemu | Kolero | Lundi | Mikese | Mkambalani | Mkulazi | Mkuyuni | Mngazi | Mtombozi | Mvuha | Ngerengere | Selembala | Singisa | Tawa | Tegetero | Tununguo |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morogoro Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |