Laila Ghofran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jamila Omar Bouamout , anajulikana zaidi kama Laila Ghofran, alizaliwa mnamo Machi 19, 1961) ni mwimbaji wa Kiarabu . Anatoka nchini Morocco [1] lakini ana uraia wa Misri.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Taaluma ya Ghofran ilianza katika miaka ya 1980 lakini iliongezeka sana kati ya 1988 na 1998, na kumpandisha hadhi ya kuwa diva wa Kiarabu kutokana na kazi ya mumewe na meneja Ibrahim Aakad. [2] Alitoa albamu yake ya kwanza "Oyounak Amari" mwaka 1989.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Ghofran ameolewa mara sita na ni mama wa mabinti wawili.

Binti yake, Hiba, aliuawa mwaka 2008 pamoja na rafiki yake. Mnamo Juni 2010, Mahmoud Essawy alihukumiwa kifo kwa kesi ya mauaji ya watu hao wawili. [3]

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  1. Oyounak Amary (1989)
  2. Ya Farha Helly (1990)
  3. Ana Asfa (1991)
  4. Esaalo El Zorouf (1992)
  5. Kol Shea Momken (1993)
  6. Haza Ekhtiary (1994)
  7. Jabar (1996)
  8. Malameh (1997)
  9. Saat Al Zaman (1999)
  10. Ahow Da El Kalam (2003)
  11. Aktar Min Ay Waqt (2005)
  12. El Garh Men Naseebi (2009)
  13. Ahlamy (2013)

Nyimbo zisizo za albamu[hariri | hariri chanzo]

  1. El Youm El Awel (1982)
  2. Raseef Omory (tarehe haijulikani)
  3. Ya Beladi (1994)
  4. El Helm El Arabi (1996)
  5. Ya Rab (2000)
  6. Ya Hager (2001)
  7. Min Hena Wa Rayeh (2006)
  8. Heya Di Masr (2009)
  9. Qades Arwahom (2011)
  10. El Shabab Da (2011)
  11. Berahmetak Aweny (2011)
  12. Tahet El Hakayek (2013)
  13. Bilad El Aman (2015)
  14. Enta Maykhtlefsh Aleek Etneen (2016)
  15. Aiz Te'ol Haga (2016)
  16. Jabni El Gharam (2018)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. (31 July 2011). Laila Ghufran films clip for Ramadan, Al Arabiya
  2. "Laila Ghofran". Hiba Music. 2011. Iliwekwa mnamo 2011-10-26. 
  3. (16 June 2010). Esawy re-sentenced to death for girls' murders, Al-masry Al-youm
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laila Ghofran kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.