Kitswana
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitswana ni lugha ya Kibantu nchini Botswana na Afrika Kusini inayozungumzwa na Watswana. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitswana nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 3,410,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitswana kiko katika kundi la S30.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitswana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |