Kiakan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiakan (pia Kitwi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waakan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiakan nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nane. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakan kiko katika kundi la Kikwa.
[hariri] Viungo vya nje
- lugha ya Kiakan kwenye Multitree
- ramani ya Kiakan
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=aka
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |