Nenda kwa yaliyomo

Dominiko Savio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Dominic Savio.

Dominiko Savio (Kiitalia: Domenico Savio; Riva presso Chieri, 2 Aprili 1842Castelnuovo Don Bosco, 9 Machi 1857[1][2]) alikuwa mvulana wa Italia aliyelelewa na Yohane Bosco kufuata upole na furaha na kwa njia hiyo alifikia mapema Ukamilifu wa Kikristo.

Akiwa anasomea upadri aliugua na hatimaye akafariki dunia katika umri wa miaka 14 tu.[3]

Mlezi wake aliandika kitabu juu yake (Maisha ya Dominiko Savio) ambacho kilichangia sana kumfanya ajulikane na hatimaye atangazwe na Papa Pius XII kwanza mwenye heri tarehe 5 Machi 1950, halafu mtakatifu[4] tarehe 12 Juni 1954.[5]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Salesianvocation.com: Biography of St.Dominic Savio Ilihifadhiwa 20 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.; Retrieved on 24 Novemba 2006.
  2. Santiebeati.it: San Domenico Savio Adolescente; Retrieved on 24 Novemba 2006.
  3. Bosconet.aust.com: Memoirs of the Oratory of Saint Francis de Sales by St. John Bosco (footnote 19, Chapter 6) Ilihifadhiwa 9 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.; Retrieved on 24 Novemba 2006.
  4. Stthomasirondequoit.com: Saints Alive: St. Dominic Savio Ilihifadhiwa 18 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.; Retrieved on 24 Novemba 2006
  5. Catholic-forum.org: Dominic Savio Ilihifadhiwa 19 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.; Retrieved on 24 Novemba 2006.C/ref>Vref>Donbosco-torino.it: Main Altars in the Church Ilihifadhiwa 6 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.; Retrieved on 24 Novemba 2006
  6. Martyrologium Romanum
  • P. LAPPIN, Dominiko Savio (Mtakatifu aliye Kijana) – tafsiri ya G. Kibodya – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1994 – ISBN 9976-67-085-0

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.