Zainab Asvat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dk. Zainab Asvatalizaliwa mnamo mwaka (1920 - 30 Novemba, 2013) alikuwa mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini . Asvat alisomea udaktari, lakini alikuwa akifanya siasa muda mwingi wa maisha yake.

Asvat alikuwa mwanamke wa kwanza Mwislamu kuwa daktari nchini Afrika Kusini . [1] Mumewe, Dr.Zain Kazi ni daktari na katibu wa Transvaal Indian Congress [2]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Asvat alikuwa mmoja wa watoto kumi na moja wa Ebrahim na Fatima Asvat. [3] Babake Asvat alimpeleka binti yake kwenye mikutano ya kisiasa alipokuwa msichana na hii ilimsaidia kupata uzoefu wa kisiasa mapema. Alikuwa msichana wa kwanza wa Kiislamu kusoma shule ya upili katika Transvaal Katika miaka ya 1940. Alisomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand baada ya kushawishiwa na Yusuf Dadoo ambaye alirejea kutoka kwa masomo yake ya matibabu huko Edinburgh . [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zainab Asvat, Doctor for the People, Passes On". Muslim Views 28 (1): 25. January 2014 – kutoka Issuu.  Check date values in: |date= (help)
  2. Reddy, E.S (29 March 2020). "Biographical notes on Indians in South Africa compiled by E.S. Reddy | South African History Online". www.sahistory.org.za. Iliwekwa mnamo 2020-07-11.  Check date values in: |date= (help)
  3. "When Hope and History Rhyme – Amina Cachalia's autobiography", Polity. 
  4. "Zainab Asvat", South African History Online. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zainab Asvat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.