Nenda kwa yaliyomo

Bariadi (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Bariadi Mjini)


Bariadi
Bariadi is located in Tanzania
Bariadi
Bariadi

Mahali pa Bariadi katika Tanzania

Majiranukta: 2°48′14″S 33°59′10″E / 2.80389°S 33.98611°E / -2.80389; 33.98611
Nchi Tanzania
Mkoa Simiyu
Wilaya Bariadi mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 260,9,278
Msimbo wa posta 39101

Bariadi ni mji katika Mkoa wa Simiyu ulio makao makuu ya mkoa. Ilipata halmashauri yake ya pekee kuanzia mwaka 2012[1] ilipotengwa na Wilaya ya Bariadi.

Misimbo ya posta huanza kwa namba 391[2].

Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, eneo la mji ulikuwa na wakazi 167,508 walioishi katika kata 10[3]. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 260,927 [4].

  1. Yanayotuhusu, tovuti rasmi ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi, iliangaliwa Oktoba 2020
  2. [ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf Ilihifadhiwa 5 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine. TCRA Postcode List, Simiyu], iliangaliwa Oktoba 2020
  3. Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016 Tanzania Bara April, 2016. Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es Salaam
  4. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Bariadi MjiniMkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bariadi | Bunamhala | Guduwi | Isanga | Malambo | Mhango | Nyakabindi | Nyangokolwa | Sima | Somanda


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.