We've Got Tonight

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“We've Got Tonight”
“We've Got Tonight” cover
Single ya Bob Seger & The Silver Bullet Band
B-side "Aint Got No Money"
Imetolewa 1978
Mtunzi Bob Seger

"We've Got Tonight" (awali ikiitwa "We've Got Tonite") ni wimbo wa 1988 uliotungwa na Mmarekani Bob Seger kutoka albamu yake Stranger in Town. Wimbo huu ulikuwa Single iliyovuma kwa Seger naulifika nafasi ya 13 katika chati za Billboard Hot 100 na ulipokea umaarufu katika redio nyingi ukichezwa mara kwa mara katika mwenendo wa adult contemporary. Hata hivyo wimbo huu haukupata umaarufu wa haraka nchini UK, huku ukifika #41 huko lakini ulifika #22 wakati wa toleo la 1988.


Toleo la Kenny Rogers na Sheena Easton[hariri | hariri chanzo]

“We've Got TonightSilver Bullet Band,”
“We've Got TonightSilver Bullet Band,” cover
Single ya Kenny Rogers & Sheena Easton
B-side "You Are So Beautiful"
Imetolewa 1983
Urefu 3:49
Mtunzi Bob Seger
Mwenendo wa singles za Kenny Rogers
{{{Albamu ya sasa}}}
Mwenendo wa singles za Sheena Easton
{{{Albamu ya sasa}}}
Picha:WGT KennyRogers USA.jpg

Mnamo 1983, nyota wa muziki wa country-pop Kenny Rogers alirekodi wimbo huu akishirikiana na Sheena Easton, na akaufanya kuwa kichwa cha albamu We've Got Tonight. Wakati huu ilikuwa albamu iliyovuma nchini U.S., ikifika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard Country Singles, #6 katika chati ya Billboard Hot 100 pop singles, na nafasi ya Pili katika chati ya Billboard Adult Contemporary. Pia ilifika 30 bora nchini Ufalme wa Muungano.

Unawili katika Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1983) Kilele
U.S. Billboard Hot Country Singles 1
U.S. Billboard Hot 100 6
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 2
Canadian RPM Country Tracks 1
Canadian RPM Top Singles 4
Canadian RPM Adult Contemporary Tracks 1
UK Singles Chart 28
Alitanguliwa na
"When I'm Away From You"
yake The Bellamy Brothers
Billboard Hot Country Singles
Single ya kwanza

9 Aprili 1983
Akafuatiwa na
"Dixieland Delight"
by Alabama
Alitanguliwa na
"I Wouldn't Change You If I Could"
yake Ricky Skaggs
RPM Country Tracks
Single ya Kwanza

9 Aprili-16 Aprili 1983

Matoleo ya Ronan Keating[hariri | hariri chanzo]

“We've Got Tonight”
Single ya Ronan Keating & Lulu
Mtunzi Bob Seger
We've Got Tonight track listing
  1. "We've Got Tonight"
  2. "All I Have Is My Heart"
  3. "In the Ghetto" (Live)
  4. "We've Got Tonight" (Video)


na tarehe zake
{{{Albamu}}}

Msanii kutoka Ireland Ronan Keating alirekodi toleo lake na mwenziwe Lulu kutoka Scotland mnamo 2002. Toleo lao lilifika #4 katika chati ya UK Singles Chart na pia ikatia fora katika mataifa mengi ya Uropa. Mnamo 2002 pia alitoa toleo la Kijerumani akishirikiana na mwigizaji wa Ujerumani na mwimbaji wa mienendo ya Hip hop Jeanette Biedermann. Toleo hili lilipanda hadi #7 nchini Ujerumani na #6 nchini Austria. Pia alitoa toleo la Kiitaliano na mwimbaji wa Italia Giorgia.


Matoleo Mengine[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo katika Utamaduni Maarufu[hariri | hariri chanzo]

  • Wimbo huu ulishirikishwa katika tamthilia ya Televishenii The Wonder Years katika sehemu ya "The Accident."
  • Wimbo huu ulishirikishwa katika tamthilia ya Televishenii Cheers sehemu ya "Wedding Bell Blues."