Wayahudi saba na mama yao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini chao kadiri ya Wojciech Stattler.

Wayahudi saba na mama yao (walifariki 167-160 KK) ni wafiadini wa karne ya 2 KK wanaojulikana kupitia sura ya 7 ya Kitabu cha pili cha Wamakabayo ambacho ni kati ya Deuterokanoni na kupitia vyanzo vingine.

Majina yao hayajulikani kwa hakika, lakini ni wazi kwamba wanasifiwa na Waraka kwa Waebrania pia (11:35)[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayahudi saba na mama yao kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.