Kiungo (chakula)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Viungo (chakula))
Kiungo cha chakula ni kiolezi kinachotia ladha au harufu maalumu katika chakula. Mifano yake ni chumvi, kitunguu, iliki, karafuu au pilipili.
Viungo vingi kwa asili ni mbegu, matunda, majani au mizizi ya mimea mbalimbali ambamo ladha inayotafutwa inapatikana.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiungo (chakula) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |