Iliki
Mandhari
Iliki (kwa Kiingereza: Cardamon) ni kiungo cha chakula kinachotokana na mbegu za mimea ya jenasi Elettaria na Amomum katika familia ya Zingiberaceae. Mbegu za eletteria ni nyeupe-kijani, na zile za amomum ni kubwa na nyeusi-kahawia.
Asili ya mimea inapatikana huko Uhindi na Indonesia lakini tangu mwanzo wa karne ya 20 imelimwa nchini Guatemala ambayo kwa sasa ni nchi inayouza iliki nyingi duniani.
Kujisomea
[hariri | hariri chanzo]- Bell, Jacob (1843). Pharmaceutical Journal: A Weekly Record of Pharmacy and Allied Sciences. Juz. II, No. 1 (toleo la Public domain). London: John Churchill.
- Cumo, Christopher Martin (25 Aprili 2013). Encyclopedia of Cultivated Plants: From Acacia to Zinnia [3 Volumes]. ABC-CLIO. ISBN 978-1-59884-775-8.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Kusters, Koen; Belcher, Brian (2004). Forest Products, Livelihoods and Conservation. Center for International Forestry Research. ISBN 978-979-3361-23-9.
- Nair, K. P. Prabhakaran (2011). Agronomy and Economy of Black Pepper and Cardamom: The "King" and "Queen" of Spices. Elsevier. ISBN 978-0-12-391865-9.
- Owen, T. C. (1883). Notes on Cardamom Cultivation (toleo la Public domain). A. M. & J. Ferguson.
- Parthasarathy, V. A.; Chempakam, Bhageerathy; Zachariah, T. John (2008). Chemistry of Spices. CABI. ISBN 978-1-84593-420-0.
- Watt, Sir George (1908). The Commercial Products of India: Being an Abridgement of "The Dictionary of the Economic Products of India." (toleo la Public domain). J. Murray. uk. 514.
- CardamomHQ: In-depth information on Cardamom
- Mabberley, D.J. The Plant-book: A Portable Dictionary of the Higher Plants. Cambridge University Press, 1996, ISBN 0-521-34060-8
- Gernot Katzer's Spice Pages: Cardamom
- Plant Cultures: botany and history of Cardamom Archived 27 Agosti 2008 at the Wayback Machine.
- Pham Hoang Ho 1993, Cay Co Vietnam [Plants of Vietnam: in Vietnamese], vols. I, II & III, Montreal.
- Buckingham, J.S. & Petheram, R.J. 2004, Cardamom cultivation and forest biodiversity in northwest Vietnam, Agricultural Research and Extension Network, Overseas Development Institute, London UK.
- Aubertine, C. 2004, Cardamom (Amomum spp.) in Lao PDR: the hazardous future of an agroforest system product, in 'Forest products, livelihoods and conservation: case studies of non-timber forest products systems vol. 1-Asia, Center for International Forestry Research. Bogor, Indonesia.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Iliki kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |