Chumvi (kemia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fuwele ya chumvi ya kawaida au kloridi ya natiri (NaCl) inavyoonekana kwa hadubini.
Sulfati ya kupri ni aina ya chumvi vilevile inayotekea kwa umbo la fuwele buluu ikijulikana kama minerali ya chalcanthite.

Chumvi kwa maana ya kemia ni kampaundi inayofanywa na ioni yaani anioni yenye chaji hasi na kationi yenye chaji chanya baada ya bezi kuunganika na asidi au metali yoyote .

Chumvi inayojulikana zaidi ni munyu au chumvi ya kawaida ya NaCl (kloridi ya natiri) inayohitajika na mwili wa mwanadamu, kwa hiyo inatumiwa kwa upishi kuongeza ladha ya chakula. Huitwa pia munyu, chumvi ya mezani au chumvi ya chakula.

Lakini kuna aina nyingi za chumvi kutokana na elementi mbalimbali na hizi kwa jumla haziwezi kuliwa, kwa mfano:

1: chumvi ya asidi

2: chumvi ya besi

3: chumvi ya muungano

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chumvi (kemia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.