Anioni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anioni (kutoka neno la Kigiriki ἄνω (ánō), likimaanisha "juu") ni ioni yenye elektroni nyingi zaidi kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji hasi (kwa kuwa elektroni zina chaji hasi na protoni zina chaji chanya).

Katika chombo cha elektrolisisi huvutiwa kwenye anodi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anioni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.