Vietnam Airlines

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vietnam Airlines
Faili:Vietnam Airlines Logo.svg
IATA
VN[1]
ICAO
HVN[1]
Callsign
VIET NAM AIRLINES[2]
Kimeanzishwa 1956 (as Vietnam Civil Aviation)
Vituo vikuu
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Golden Lotus Plus
Member lounge Golden Lotus Lounge
Muungano SkyTeam
Subsidiaries
Ndege zake 71
Shabaha 48 (20 domestic; 26 international; 2 seasonal)
Nembo Bringing Vietnamese Culture to the World
Kampuni mama Vietnam Airlines Corporation
Makao makuu Long Bien, Hanoi, Vietnam
Watu wakuu
  • Pham Viet Thanh (Chairman)[4][5][6]
  • Pham Ngoc Minh (President and CEO)[4][6]
  • Nguyen Van Hung (Executive Vice President and Director)[6]
Tovuti vietnamairlines.com
Boeing 777, Vietnam Airlines

Vietnam Airlines ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Tong cong ty hang khong Vietnam kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Vietnam". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Airline Membership". International Air Transport Association. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-01. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012. 
  2. "Vietnam Airlines – Details and Fleet History". Planespotters.net. 19 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012. 
  3. Dong, Ha. "Second southern international airport has $8bln price tag", Thanhniennews.com, 20 Desemba 2006. Retrieved on 1 Mei 2012. Archived from the original on 2012-05-01. 
  4. 4.0 4.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named About Us
  5. "Vietnam Airlines có chủ tịch mới", 24 Mei 2011. Retrieved on 15 Desemba 2011. (Vietnamese) 
  6. 6.0 6.1 6.2 "Vietnam Airlines Board of Directors". Bloomberg Businessweek. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-01. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]