Nenda kwa yaliyomo

Ursichini wa Jura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika pango.

Ursichini wa Jura (pia: Ursan, Ursanne, Ursannus, Ursicin, Ursicinus; Ireland, karne ya 6 - Saint-Ursanne, Uswisi, 620) alikuwa mmonaki mfuasi wa Kolumbani, ambaye mwaka 610 alihamia milima ya Jura, kwenye Uswisi wa leo, ili aishi kama mkaapweke, lakini watu wengi walimfuata akawaanzishia monasteri [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.santiebeati.it/dettaglio/91903
  2. Martyrologium Romanum
  • Marcel Chapatte (préf. Daniel-Rops), … et cette ville s'appellera Saint-Ursanne au bord du Doubs, Genève, Éditions Générales, 1955, 331 p.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Romain Jurot, « Ursanne (saint) » dans le Dictionnaire historique de la Suisse [1].
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.