Upelekaji
Katika utarakilishi na mawasilianoanga, upelekaji (kwa Kiingereza: transmission in telecommunication) ni utume na uzalishaji wa taarifa za kidijiti kwa njia ya waya, nyuzi za kioo au bila waya.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).