Umani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Umani (au Umanikeo, kutoka jina la Kiingereza "Manicheism") ni dini iliyoanzishwa na Mani (216-274 hivi) huko Uajemi katika karne ya 3 BK.

Dini hiyo ilifuata ujuzilio na kuenea sana, lakini kwa sasa haipo tena.

Kati ya watu walioisadiki, maarufu zaidi ni Augustino wa Hippo, aliyoifuata kwa miaka kadhaa kabla hajaongokea Ukristo wa Kanisa Katoliki.

Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.