Nenda kwa yaliyomo

Ugonjwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unene wa kupindukia ulitazamwa kama dalili ya cheo katika jamii nyingi, lakini leo hii hutazamwa kama ugonjwa.

Ugonjwa au maradhi ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya ustawi au starehe ya kiumbehai. Hivyo hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.

Sayansi inayochungulia magonjwa ni sayansi ya tiba.

Magonjwa yanaweza kugawanyika kutokana na vyanzo/asili zake kama vile:

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.