Nenda kwa yaliyomo

Tia Carrere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Tia Carrere
Tia Carrere, mnamo 2009.
Tia Carrere, mnamo 2009.
Jina la kuzaliwa Althea Rae Duhinio Janairo
Alizaliwa 2 Januari 1967
Hawaii
Kazi yake Mwigizaji, mwanamitindo na mwimbaji.
Miaka ya kazi 1984-hadi leo
Ndoa Elie Samaha (1992-2000)
Simon Wakelin (2002-2010)
Watoto 1
Tovuti Rasmi Tia Carrere

Tia Carrere (Jina la kuzaliwa Althea Rae Duhinio Janairo alizaliwa 2 Januari 1967) ni mwigizaji filamu wa Kihawaii, mwanamitindo na pia mwimbaji, anafahamika sana kwa jina la Cassandra kutoka katika filamu alioshirikishwa iitwayo Wayne's World na katika mfululizo wa kipindi cha TV kiitwacho Relic Hunter.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Tia alizaliwa mjini Honolulu, Hawaii na wazazi wa Filipino, Carrere toka mtoto alikuwa na ndoto za kuwa mwimbaji, japokuwa alianguka katika mzunguko wa mwanzo wakati wa kumtafuta nyota bora wa uimbaji kwa mwaka wa 1985, hapo alikuwa na umri wa miaka 17.

Mwaka uliofuatia alibahatika kuwa mmoja wa washiriki wa kampunini ya kutengeneza filamu na kudhamini maarufu kama Broadway, filamu ilikwenda kwa jina la Zombie Nightmare iliyofanyika mwaka 1986

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwezi wa Februari ya mwaka wa 2000 Carrere alitalakiana na mumewe wa kwanza aitwae Elie Samaha; na kuolewa tena na mwandishi wa picha bwana Simon Wakelin mnamo tarehe 31 Desemba ya mwaka 2002. Kwa pamoja wana mtoto mmoja wa kike aitwae Bianca, aliezaliwa tarehe 25 Septemba ya mwaka 2005. Kwa sasa Carrere anaishi mjini Toronto, Kanada.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • Zombie Nightmare (1986)
  • Noble House (1988)
  • Aloha Summer (1988)
  • Fine Gold (1989)
  • The Road Raiders (1989)
  • Fatal Mission (1990)
  • Instant Karma (1990)
  • Harley Davidson and the Marlboro Man (1991)
  • Showdown in Little Tokyo (1991)
  • Little Sister (1992)
  • Intimate Stranger (1992)
  • Wayne's World (1992)
  • Rising Sun (1993)
  • Quick (1993)
  • Wayne's World 2 (1993)
  • Hostile Intentions (1994)
  • Treacherous (1994)
  • True Lies (1994)
  • My Teacher's Wife (1995)
  • The Immortals (1995)
  • The Daedalus Encounter (1995) (voice)
  • Jury Duty (1995)
  • Hollow Point (1996)
  • High School High (1996)
  • Top of the World (1997)
  • Kull the Conqueror (1997)
  • 20 Dates (1998)
  • Dogboys (1998)
  • Scar City (1998)
  • Merlin: The Return (1999)
  • Meet Prince Charming (1999)
  • Five Aces (1999)
  • The Night of the Headless Horseman (1999) (voice)
  • Lilo & Stitch (2002) (voice)
  • Stitch! The Movie (2003) (voice)
  • Torn Apart (2004)
  • Back in the Day (2005)
  • Aloha, Scooby-Doo! (2005) (voice)
  • Lilo & Stitch 2: Stitch Has A Glitch (2005) (voice)
  • Supernova—The Day the World Catches Fire (2005)
  • Leroy & Stitch (2006) (voice)
  • Saints Row (2006) (game voice)
  • Dark Honeymoon (2007)

Mwonekano wa katika Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Cover Up
  • Airwolf
  • General Hospital
  • The A-Team
  • Tour of Duty
  • MacGyver
  • Anything But Love
  • Friday the 13th: The Series
  • Quantum Leap
  • Married... with Children
  • Tales from the Crypt
  • Happily Ever After: Fairy Tales for Every Child (voice)
  • Murder One
  • Veronica's Closet
  • Hercules: The Animated Series (voice)
  • Relic Hunter
  • Duck Dodgers (voice)
  • Lilo & Stitch: The Series (voice)
  • Megas XLR (voice)
  • Johnny Bravo (voice)
  • American Dragon: Jake Long (voice)
  • Dancing with the Stars - season 2
  • The O.C.
  • Curb Your Enthusiasm
  • Nip/Tuck
  • Back To You

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tia Carrere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.